Habari za Punde

NIKOHUB TUNAFUTURISHA WATU 100 KILA SIKU KUANZIA LEO HADI SIKU KUMI

Mambo yanazidi kuwa mazuri kwa wanaoenda na wakati kadri siku zinavyozidi kwenda kufuatia ukuaji wa kitekenolojia siku hadi siku, hali hii inazidi kuleta manufaa na msukumo mkubwa wa kimaendeleo Duniani hasa kwa kurahisisha nyanja za utendaji kazi katika biashara.

Dar es salaam  Kampuni ya Candy and Candy imekuja kivingine msimu huu wa Ramadhani kwa kutumia mfumo mpya tuliouanzisha wa kiteknolojia “Nikohub”tumeanza mchakato wa kufuturisha watu 100 kila siku kwa muda wa siku kumi.

Ili upate kushiriki Futari unatakiwa ku-download  Nikohub kwenye Play Store katika simu yako.
Kisha jiunge ili tuweze kukuona kwenye mfumo wetu na uingie kwenye list ya watu 100 watakao kula futari leo.

Ukifanikiwa ku-downloda tutumie SMS au piga 0765802457 tu kuelekeze sehemu ya kwenda kula futari maeneo ya huko uliko ni bure!.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.