Habari za Punde

Waziri Haroun Azungumza na Waandishi wa Habari Utekelezaji wa Wizara Yake.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mh. Haroun Ali Suleiman akitowa taarifa ya utekelezaji wa Wizara yake wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Zanzibar,mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa wizara hiyo mazizini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.