Mkurugenzi Fedha wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC), Ismail Omar Bai, akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali huko Micheweni Pemba, juu ya Shirika hilo lilivyojipanga katika kuliokowa zao la Karafuu kwa msimu unaokuja ambalo lina tarajiwa kuwa kubwa.
Picha na bakar Mussa-Pemba.
No comments:
Post a Comment