Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mohmoud Atowa Shukrani Kwa Waandishi wa Habari Kwa Ushiriki Wao Ziara ya Rais Mkoani Kwake.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Unguja walioshiriki na kufanikisha ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Mkoa Wake na kutembelea Miradi ya maendeleo mbalimbali na kuweka mawe ya msingi katika miradi hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya binafsi na serikali katika kuripoti habari ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Mkoa wake wiki iliopita.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja uliofanyika Ofisini kwake Vuga na kutowa shukrani zake kwao. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.