Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Akiendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba. Aweka Jiwe la Msingi Soko la Samaki.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Soko la samaki na mboga mboga la Konde Wilaya ya Micheweni leo akiwa katika ziara zake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Soko la samaki na mboga mboga la Konde Wilaya ya Micheweni leo akiwa katika ziara zake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akibadilishana mawazo Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee (kushoto) mara baada ya kutembelea  ujenzi wa Soko la samaki na mboga mboga la Konde Wilaya ya Micheweni leo aliloliweka jiwe la msingi akiwa katika ziara zake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipofuatana na Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad Rashid Mohamed mara baada ya kutembelea  ujenzi wa Soko la samaki na mboga mboga la Konde Wilaya ya Micheweni leo aliloliweka jiwe la msingi akiwa katika ziara zake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.