Habari za Punde

Uvamizi wa Eneo la Uwanja wa Gombani.

Burdoza likiwa katika harakati za kutewanya kifusi katika eneo la jirani na uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
Mmiliki wa Taasisi ya Sameil Academy kiiswani Pemba,amriwa kuvunja sehemu ya Chuo hicho baada ya kuingia katika eneo la mipaka ya uwanja wa gombani katika ujenzi wake na kuamriwa kuvunja na kuliwacha wazi eneo hilo kwa ajili ya matumizi ya uwanja huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.