Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Chimba Micheweni Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akifungua pazia kuweka jiwe la msingi ujenzi wa madarasa 4 ya kusomea na ofisi ya Walimu katika Skuli ya Chimba Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma walipokuwa wakisoma maandishi yaliyoandikwa mara baada ya  kuweka jiwe la msingi ujenzi wa madarasa 4 ya kusomea na Ofisi ya Walimu katika Skuli ya Chimba Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo
Baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakifurahia wakati walipomkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipowasili katika Skuli ya Chimba Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini pemba kiiweke jiwe la msingi Skuli hiyo,samba na ziara yake katika Wilaya ya hiyo kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma  alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuzungumza na Wananchi na Wanafunzi wakati alipoweka jiwe la msingi  Skuli ya Chimba Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo jengo lenye madarasa 4,na Ofisi ya Walimu akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto pichani) alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanafunzi wakati alipoweka jiwe la msingi  Skuli ya Chimba Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo jengo lenye madarasa 4,na Ofisi ya Walimu akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo,[Picha na Ikulu.] 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.