Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein, Aendelea na Ziara Yake Wilaya ya Wete Pemba.Azindua Kituo cha Afya.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwapungia mkono Wananchi wa Kijiji cha Junguni wakati alipofika kuzindua Kituo cha Afya cha Mama na Mtoto jana akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua pazia kuzindua Kituo cha Afya cha Mama na Mtoto jana  akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Daktari wa kanda ya Pemba ZMO Dk.Mbwana Shoka Khatib mara alipotembelea  Kituo cha Afya cha Mama na Mtoto jana baada ya kukizindua akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba (kulia) Naibu Waziri wa Afya Bi.Harusi Said Suleiman
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Nd,Asha Abdalla Ali (katikati)alipokuwa akitoa taarifa ya kituo cha Afya cha Mama na Mtoto katika Kijiji cha Junguni baada ya kuzinduliwa rasmi jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
Naibu Waziri wa Afya Bi.Harusi Said Suleiman alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Junguni pamoja na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) ili azungumze na wananchi wa Kijiji hicho jana baada ya kukizindua kituo cha Afya cha Mama na Mtoto jana ,akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.