Habari za Punde

TAMWA ZANZIBAR

Mjumbe wa Bodi ya Tamwa Zanzibar Rukia Issa akizungumza na mwanachama wa Tamwa Zanzibar huko katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi
Mwanachama wa Tamwa Zanzibar Salma Lusangi akimkabidhi fedha Katibu wa Kamati ya uchangishaji fedha za ujenzi wa jengo jipya la ofisi ya Tamwa Zanzibar Mwarabu Suleiman
Baadhi ya wanachama wa Tamwa Zanzibar wakifuatilia kikao cha uchangiaji fedha kwa ajili ya ujenzi wa jingo jipya la ofisi ya Tamwa Zanzibar kilichafanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi  Vuga Zanzibar (Picha na Kijakazi Abdalla-Maelezo) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.