Habari za Punde

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Akabidhi Hundi Kwa Vikundi Vya Wahitimu wa Mafunzo ya Amali Zanzibar.

Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma, akimkabidhi hundi ya shilingi Milioni tano mshika fedha wa Kikundi cha ICT SOLUTION cha Mwanakwerekwe Bi.Tatu Ali Haji kwa ajili ya kupeana mikopo nafuu kwa kuendeleza kikundi hicho katika hafla ya sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Vyuo vya Amali Migombani Unguja 

(Picha na Abdallah Omar,- Habari Maelezo).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.