AFISA ufuatiliaji
na Tathimini kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, Khamis Khatib
Mohamed, akielezea nini maana ya tathimini, kwenye mkutano wa siku moja ya
kufanya tathimini, kwa watu wenye ulemavu kisiwani Pemba, kufuatia mafunzo ya haki
za binadamu waliowahi kupewa, mkutano huo ulifanyika ZLSC mjini Chakechake
MJUMBE wa
baraza la taifa la watu wenye ulamavu Zanzibar, Salum Abdalla Salum
akiwasilisha kazi za vikundi, kwenye mkutano wa siku moja wa kufanya tathmini
wa mafunzo ya haki za binadamu kwa watu wenye ulemavu, ulioandaliwa na
kufanyika Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba.
WATU wenye
ulemavu kutoka jumuia kadhaa kisiwani Pemba, wakijadili jambo kwenye kazi za
vikundi, ndani ya mkutano wa tathmini juu ya mafunzo ya haki za binadamu
waliowahi kupewa, na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na
mkutano huo kufanyika mjini Chakechake
WATU wenye
ulemavu kutoka jumuia kadhaa kisiwani Pemba, wakijadili jambo kwenye kazi za
vikundi, ndani ya mkutano wa tathmini juu ya mafunzo ya haki za binadamu
waliowahi kupewa, na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na
mkutano huo kufanyika mjini Chakechake
MWENYEKITI wa Jumuia ya wasioona wilaya ya Mkoani Pemba Ali
Hemed Khalifa, akitoa sababu za jamii kuendelea kutowapa ushirikiano, kwenye
mkutano wa tathimini juu ya mafunzo ya haki za binadamu, waliowahi kupewa kundi
hilo, mkutano huo ulifanyika ZLSC mjini Chakechake,
Picha na Haji Nassor, Pemba
Picha na Haji Nassor, Pemba
No comments:
Post a Comment