TIMU
mpya ya madaktari kutoka China waliopo hospitali ya Mkoa ya Abadlla Mzee Mkoani
Pemba, wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa skuli ya Msingi ya
Makombeni wilaya ya Mkoani, mara baada ya madaktari hao kuwafanyia vipimo vya
maskio, pua na koo,
WANAFUNZI wa
skuli ya Msingi Makombeni wilaya ya Mkoani Pemba, wakikabidhiwa zawadi ya vifaa
vya skuli na timu mpya ya madaktari
kutoka China, waliopo hospitali ya Mkoa ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba,
mara baada ya madaktari hao kuwafanyia vipimo vya koo, maskio na pua skulini
hapo
KIONGOZI wa
madaktari kutoka China na mtaalamu wa masikio, koo na pua ‘E.N.T’ dk Chen Er
Dong, akimfanyia kipimo cha sikio, mwanafunzi wa skuli ya Msingi ya Makombeni
wilaya ya Mkoani, Pemba wakati timu hiyo ya madaktari nane kutoka China, walipokuwa
na zoezi hilo skulini hapo, (Picha na
Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment