Habari za Punde

Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa


 Hili ni eneo liliopo mkabala na Mahakama Kuu Zanzibar ambalo limetolewa kibali na kuanza kujengwa. Inasadikiwa sehemu hii ilikuwa ni makaburi zamani
                     

Na Mkereketwa wa Mji Mkongwe

Kuna sheria Zanzibar inayozuia ujenzi katika maeneo yaliyowahi kuwa makaburi kuwa yabaki kuwa green/open spaces. 

Hili eneo lilikua na hadhi hiyo lakini ghafla limepewa kibali kujengwa katika mji huo huo mkongwe tunaombiwa kuna msongamano! 

Tena jengolenyewe lipo mkabala na Mahakama Kuu. 

Nani katoa kibali? Kwanini Mji Mkongwe hauna usimamizi maalum dhidi ya waliopewa dhamana? 

1 comment:

  1. Ndi serikali ikiendeshwa kwa dhulma huwa haiheshimu hata sheria zao

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.