Habari za Punde

Mbinu Mpya: Unga wasafirishwa ndani ya DVDKAMADA wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba Sheikhan Mohamed Sheikhan, akiwaonyesha waandishi wa habari hawapo pichani, mbinu mpya zinazotumiwa na wasafirishaji wa madawa ya kulevya, kutoka Unguja na kuingia Pemba kwa kupekiwa ndani ya DVD,jeshi hilo limekamata kete 969 zikiwa zimehifadhiwa humo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.