Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Atowa Mkono wa Eid Al Hajj Kwa Watoto wa SOS na Nyumba y Watoto Mazizini Zanzibar.

Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Maudline Castico akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kutoa Mkono wa Eid Al Hajj kwa watoto hao ili kuweza kujumuiya na watoto wenzao kusherehekea Sikukuu ya Eid Al Hajj inayosherehekewa baada ya Ibada ya Hijja inayoadhimisha Nchini Saud Arabia Makka.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akiwa na Mtoto Abdullatif Abdallah wenye umri wa miezi 5 analelewa katika kituo hicho kushoto Mkurugenzi wa Idara ya Ustawi wa Jamii Bi Wahida Mabadi na kulia Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi Fatma Gharib Bilal wkiwa katika nyumba ya Watoto Yatima Mazizini kumuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kutoa mkono wa Eid kwa watoto hao.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Mhe Maudline Castico akitowa Mkono wa Eid kwa Watoto waNyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, 
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Mhe Maudline Castico akitowa Mkono wa Eid kwa Watoto waNyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Mhe Maudline Castico akisalimiana na Walezi na Viongozi wa Kijiji cha Watoto SOS Mombasa Zanzibar kumuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Mhe Maudline Castico akisalimiana Program Manager wa SOS Denmark Bi Lene Godiksen, alipowasili katika viwanja vya kijiji hicho kwa ajili ya kutoa mkono wa Eid kwa Watoto hao akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
Mkurugenzi wa Kijiji cha SOS Bi.Asha Salum akitowa maelezo kwa Ujumbe uliomuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kwa ajili ya kutoa mkono wa Eid Al Hajj. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Watoto wa Kijiji cha SOS wakati wa hafla ya kumuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kutoa mkono wa Eid Al Hajj kwa watoto hao na walezi wao. 
Watoto wa Kijiji cha SOS wakimsikiliza Waziri Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe Riziki Pembe Juma akitowa nasaha zake wakati wa hafla ya kutoa mkono wa Eid Al Hajj iliotolewa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
Ujumbe wa Viongozi wa SOS kutoka Nchini Kenya na Denmark wakifuatilia hafla hiyo.
Walezi wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya utoaji wa mkono wa Eid Al Hajj.
Viongozi wa Kijiji cha SOS kutoka Nchini Kenya wakifuatilia hafla hiyo ya utoaji wa mkono wa Eid Al Hajj kwa Watoto wa Kijiji hicho uliotolewa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akitowa mkono wa Eid Al Hajj kwa watoto wa kijiji cha SOS akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein. hafla hiyo imefanyika katika makazi yao mombasa Zanzibar.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Castico akitowa mkono wa Eid Al Hajj kwa watoto wa kijiji cha SOS akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein. hafla hiyo imefanyika katika makazi yao mombasa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.