Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kushoto) akiwa na baadhi ya viongozi wakicheza pamoja na wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Wasonjo kutoka Ngorongoro, wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
VIONGOZI MUHAS WAHITIMU MAFUNZO SHULE YA MWALIMU NYERERE
-
Na Khadija Kalili, Michuzi TV
MKURUGENZI wa Rasilimali Watu na Mafunzo ya Wizara ya Afya Dkt. Saitore
Laizer aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya kufunga ...
32 minutes ago
No comments:
Post a Comment