Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MJAAFISA WAPYA 422 WA JWTZ JIJINJI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikaguwa gwaride wakati wa sherehe ya kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya 422 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
Picha na IKULU
Maafisa wapya 422 wakipita Jukwaa kuu baadea ya kutunukiwa kamishenin  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nan Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.