Habari za Punde

KADA WA CCM AMIRI MKUFYA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA MLALO

 


Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Amiri Mkufya maarufu kama AMESCO, ni miongoni mwa watia nia Jimbo la Mlalo, ambaye naye amechukua fomu kwa ajili ya kumkabili Mbunge wa sasa Rashid Shangazi.

Pamoja na kuwa kada, Mkufya pia ni mshindi wa tuzo za Young CEO Round table Africa, Mchumi na msomi kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.