Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, Awapongeza Wanafunzi Waliofaulu Daraja la Kwanza Kidatu Cha Nne na Sita Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja leo katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapunga mkono wakati  alipofuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja leo katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017).Baadhi ya Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017),wakiwa katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja katika hafla ya kupongezwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambapo Dk.Shein aliwaandalia chakula cha mchana na kuwapa zawadi wanafunzi bora kimasomo 2016/2017.
Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017),wakiwa katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja katika hafla ya kupongezwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambapo Dk.Shein aliwaandalia chakula cha mchana na kuwapa zawadi wanafunzi bora kimasomo 2016/2017
Wanafunzi wa Skuli za Binafsi pia ni miongoni mwa wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017),wakiwa katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja katika hafla ya kupongezwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambapo Dk.Shein aliwaandalia chakula cha mchana na kuwapa zawadi wanafunzi bora kimasomo 2016/2017.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kushoto) alipokuwa akizungumza na machache na Kuwaasa wanafunzi pia kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,  katika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja leo kuzungumza katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) alipokuwa akizungumza na Wanafunzi na Walimu wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017) hafla iliyofanyika leo katika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) alipokuwa akimkabidhi zawadi Sumaiya Omar Issa Zanzibar Feza akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora kimasomo 2016/2017,katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017) hafla iliyofanyika leo katika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja (kushoto)Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) alipokuwa akimkabidhi zawadi Mikidadi Mahmoud Mwindadi Skuli ya Lumumba akiwa ni  mwanafunzi bora wa Jumla katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017) hafla iliyofanyika leo katika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja(kushoto)Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) alipokuwa akimkabidhi zawadi Marium Mohamed Suleiman kwa niaba ya Mariam Mohamed Ali,wanafunzi bora wa Sayansi (SUZA) katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017) hafla iliyofanyika leo katika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja(kushoto)Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (kulia) alipokuwa akichukua chakula cha mchana wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017) iliyofanyika leo katika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma wakichukua chakula cha mchana wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017) iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa wanafunzi hao leo katika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja 
Baadhi ya Viongozi wakichukua chakula cha mchana wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017) iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa wanafunzi hao leo katika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja
Baadhi ya wanafunzi wakichukua chakula cha mchana wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017) iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa wanafunzi hao leo katika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja,
Baadhi ya wanafunzi wakichukua chakula cha mchana wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017) iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa wanafunzi hao leo katika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja
Baadhi ya wanafunzi wakichukua chakula cha mchana wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na   Kidato cha Sita (2017) iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa wanafunzi hao leo katika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja
,[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.