Habari za Punde

Kitunze Kidumu Uwanja wa Gombani Ukiwa Katika Muonekano Mwengine.

Uwanja wa Mpira wa Gombani Kisiwani Pemba ukioneka ukipendeza baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa wa majengo hayo kwa kuweka rangi na uwanja wa mpira kuweka nyasi za kisasa na njia ya kukimbilia kukarabatiwa na kuwa na kiwango cha Kimataifa katika Uwanja huo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.