Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibat Kati ya JKU na Miembeni City Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU Imeshinda Bao1-0

 Mshambuliaji wa Timu ya JKU akiwapita mabeki wa Timu ya Miembeni City wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya JKU imeshina bao 1-0.
Mchezaji wa Timu ya JKU na Miembeni City wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Kocha Mkuu wa Timu ya Miembeni City Seif King akifuatilia mchezo wa Timu yake na Timu ya JKU uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
  Mshambuliaji wa Timu ya JKU akijaribu kumpita beki wa Timu ya Miembeni City. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.