Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba atembelea kambi za karafuu wilaya ya Mkoani


 Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba, akiwa katika ziara ya kutembelea Kambi za Karafuu katika Wilaya ya Mkoani, akiangalia Makonyo  yaliko katika moja ya Kambi hizo.
 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, akiangalia Karafuu ambazo zimeanikwa kwa utartibu unaotakiwa na Shirika  la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) ili kuleta haiba yake.
 Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Hemed Suleiman Abdalla, akiangalia Karafuu ambazo zimtkusanywa kichungu hazijaanikwa huko katika moja ya Kambi ya Karafuu Mkoani Pemba.
 Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Hemed Suleiman Abdalla, akitowa maelezo kwa Taksforce ya Karafuu  ya Mkoa wa Kusini Pemba , ikiwa katika ziara yake ya kuangalia maendeleo ya uchumaji wa Karafuu.

Mmiliki wa Kambi ya karafuu huko katika Wilaya ya Mkoani , akitowa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, na Wajumbe wa Taksforce ya Karafuu ya Mkoa huo ili kuangalia maendeleo ya Uchumaji wa Karafuu.

PICHA NA JAMILA  ABDALLA-MAELEZO PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.