Habari za Punde

Mzunguko wa pili wa Ligi kanda ya Unguja kuanza leo JKU v/s Chuoni , CIty v/s Mafunzo


Na: Abubakar Khatib “Kisandu”, Zanzibar.

Baada ya kusimama ligi kuu soka ya Zanzibar na kupisha sherehe za Mwenge zilizohitimishwa leo,  mzunguko wa pili wa kanda ya Unguja utaanza leo kwa kupigwa
michezo yote katika uwanja wa Amaan.

Jumapili 15/10/2017 saa 8:00 za mchana JKU vs Chuoni
Jumapili 15/10/2017 saa 10:00 za jioni Miembeni City vs Mafunzo

Jumatatu 16/10/2017 saa 8:00 za mchana Taifa ya Jang’ombe vs Polisi
Jumatatu 16/10/2017 saa 10:00 za jioni KVZ vs Zimamoto

Jumanne 17/10/2017 saa 8:00 za mchana Kipanga vs Charawe
Jumanne 17/10/2017 saa 10:00 za jioni KMKM vs Kilimani City

Jumatano 18/10/2017 saa 10:00 za jioni Black Sailors vs Jang’ombe Boys

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.