Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali   katika  kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja
Waziri wa   Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) akiwasilisha taarifa ya  Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017  katika  kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara  hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na (kushoto) Naibu Waziri wa  Wizara hiyo Mhe.Mmanga Mjengo Majawiri
Katibu Mkuu wa Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali  Nd,Khadija Bakari Juma akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd,Abdalla Mzee Abdulla,(kulia)

Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Prof.Idrissa Rai (kushoto) alipokuwa akielezea jambo  wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha Uongiozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), na Naibu Waziri wa  Wizara hiyo Mhe.Mmanga Mjengo Majawiri
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali wakifuatilia kwa makini taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 iliyosomwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali  Nd,Khadija Bakari Juma(wa pili kushoto) katika  kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani
Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika   Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali  wakiwa katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika   Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali  wakiwa katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)(Picha na Ikulu )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.