Habari za Punde

Waziri wa Fedha na Mipango Azungumza na Waandishi wa Habari Kuhusiana na Matumizi na Mapato ya Robo Mwaka 2017/2018.

WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. DK. Khalid Salum Mohammed akizungumza na waandishi wa habari Utekelezaji wa Ukusanyaji wa Mapato na Matumizi ya SMZ ya robo ya mwaka wa  2017/2017, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.