Meli ya Kampuni ya Utafiti na Utafutaji wa Mafuta na Gas Asilia Zanzibar ikiwa katika bandari ya Zanzibar wakati wa uzinduzi wa Meli hiyo kuaza zoezi la Utafutaji wa Mafuta na Gas Asilia katika Visiwa vya Unguja na Pemba, Utafiti huo unafanywa na Kampuni ya Kichina BGP Explorer.
MAKAMU
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindyua Meli ya Utafiti wa
Mafuta na Gas Asilia Zanzibar na Kampuni ya BGP Explorer kutoka Nchini China uzinduzi huo umefanyika
katika bandari ya malindi Zanzibar leo.kulia Waziri wa Ardhi Maji Nishati na
Mazingira Mhe. Salama Aboud Talib na
Mwakilishi wa Kampun BGP Explorer Gou Yunhui na kushoto Mwakalishi wa Kampuni
ya Rakgas Osama Abdilali
No comments:
Post a Comment