Habari za Punde

Kikao Cha Tume ya Uchaguzi ya Taifa NEC Cha Kujadili Rufaa za Wagombea Udiwani

Jaji  Semistocles  Kaijage (katikati) akiongoza kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kilichokuwa kinajadili rufaa za wagombea udiwani pamoja uteuzi wa Wanawake wa udiwani wa viti Maalum. Kulia kwake ni Hamid Mahamoud Hamid na kushotoka kwa mwenyekiti ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani  (Picha na NEC)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.