Habari za Punde

ZANTEL Yazindua Huduma ya Watalii Zanzibar Tourist Package Ikiwa na Ofa Kibao Katika Mwezi Mmoja.

Mkurugenzi wa Zantel Zanzibar Mohammed Mussa Baucha akizungumza na waandishi wa habari na Wakala wa Utalii Zanzibar, wakati wa uzinduzi wa Huduma ya Zantel kwa Watalii wanaotembelea Zanzibar ijulikanayo kwa jina la Tourist Package ikituwa na fursa za offa kibao kwa wageni wanapowasili Zanzibar na kupata huduma ya Mtandao kuwasiliana na wanakotoka. kushoto Meneja Bidhaa wa Zantel Bi Emmiliana Vakokwene, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar. 
Maofisa wa Kampuni ya Simu ya Zantel wakifuatilia uzinduzi huo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar.
Wafanyakazi wa Zantel wakifuatilia uzinduzi huo wa Huduma kwa Watalii Wanaotembelea Zanzibar ikiwa na Package za Offa mbalimbali.
Waandishi wa habari na Mawakala wa Watalii Zanzibar wakifuatilia uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar.
Wafanyakazi wa uwakala wa Zantel wakifuatilia uzinduzi huo 
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo wa uzinduzi wa huduma kwa Watalii Zanzibar ya Tourist Package. 
Mkuu wa duka la huduma kwa wateja mlandege Zanzibar akichangia wakati wa uzinduzi huo wa huduma ya Mtandao kwa Watalii Zanzibar Tourist Package. 
Muwakilishi wa Kampuni ya Watembeza Watalii Zanzibar  a Serena Tours Zanzibar Ltd Reggna Yussuf akizungumza wakati wa uzinduzi huo wa Huduma ya Mtandao kwa Watalii ijulikanoyo kwa jina Tourist Package, inadumu kwa muda wa mwezi mmoja 
Afisa wa Zantel akitowa ufafanuzi kuhusiana na maswali ya waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo.
Afisa wa Zantel akitowa ufafanuzi kuhusiana na maswali ya waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo.
Mkurugenzi wa Zantel Zanzibar Mohammed Mussa Baucha akiwa katika picha ya pamoja na Mawakala wa Watalii Zanzibar kulia Mkurugenzi wa Kampuni ya Zanzibar Association of Tour Operators Hassan Ali Mzee na kushoto Reservation Maneger wa Kampuni ya Serena Tours Zanzibar Ltd na wamwisho Manager Bidhaa wa Zantel Emmiliana Vakokwene. 
Mkurugenzi wa Zantel Zanzibar Mohammed Mussa Baucha akiwa na Timu ya Maofisa wa Zantel wakiwa katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo, uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya golden tulip malindi zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.