Habari za Punde

Muuza Magazeti Maarufu Zanzibar Tangu Mwaka 1976 Hadi leo 2017 Akiwa katika Biashara hiyo.

Mfanyabiashara ya magazeti kisiwani Zanzibar Abel akiwa katika kituo chake cha kuuzia magazeti eneo la darajani akiwa katika kazi yake hiyo, kwa mujibu wa maelezo yake kazi hii ameiaza tangu ya wakati kulikuwa na magazeti ya uhuru, hadi sasa anaendelea na biashara hiyo na inampatia tija 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.