Habari za Punde

ZANZIBAR KUANZA TENA KUTOA MATONE YA VITAMIN A NA DAWA ZA MINYOO KWA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO

Afisa wa Lishe Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Asha Hassan akijibu maswali yaliyoulizwa na wandishi wa habari katika mkutano wa kutoa tarifa ya utoaji matone ya Vitamini A Dawa za minyoo na upimaji hali ya lishe uliofanyika Wizara ya Afya Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Fadhil Mohammed Abdallah akizungumza na wandishi wa habari kuhusu zoezi la utoaji wa matone ya Vitameni  A, Dawa za minyoo na upimaji wa hali ya lishe kwa watoto wenye umri wa miezi sita hadi miaka mitano kuanzia tarehe 1 hadi 31 mwezi kesho.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.