Habari za Punde

KONGAMANO LA VIJANA KUHUSU KUTOKOMEZA RUSHWA LAFANYIKA.

Afisa uhusiano kutoka mamlaka ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumu (ZAECA)Mwanaidi Suleiman Ali akisoma ratiba ya Uzinduzi wa Kongamano la Vijana kuhusu kupambana na kutokomeza vitendo vya Rushwa na Uhujumu Uchumi hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za Wiki ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Mussa Haji Ali akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Kongamano la Vijana kuhusu kupambana na kutokomeza vitendo vya Rushwa na Uhujumu Uchumi hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni mjini Unguja..Ikiwa ni shamra shamra za Wiki ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi.
Mgeni rasmi Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kubingwa Mashaka Simba akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Kongamano la Vijana  kuhusu kupambana na kutokomeza vitendo vya Rushwa na Uhujumu Uchumi hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni mjini Unguja..Ikiwa ni shamra shamra za Wiki ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi.
Baadhi ya Vijana na wageni waalikwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Kongamano la Vijana  kuhusu kupambana na kutokomeza vitendo vya Rushwa na Uhujumu Uchumi hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni mjini Unguja..Ikiwa ni shamra shamra za Wiki ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi.
Afisa Elimu Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Yussuf Juma akiwasilisha mada ya Nafasi ya Vijana katika kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi  katika Uzinduzi wa Kongamano la Vijana  kuhusu kupambana na kutokomeza vitendo vya Rushwa na Uhujumu Uchumi hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni mjini Unguja..Ikiwa ni shamra shamra za Wiki ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi

Mwenyekiti wa Vijana Shehia ya Kikwajuni Abdulrahman Ali Mrisho akitoa mchango wake katika Uzinduzi wa Kongamano la Vijana  kuhusu kupambana na kutokomeza vitendo vya Rushwa na Uhujumu Uchumi hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni mjini Unguja..Ikiwa ni shamra shamra za Wiki ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi.

Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.