Habari za Punde

Hosptali ya Abdalla Mzee, Kero hii muiangalie!" KERO "  Maji ambayo yamekuwa yakitoka katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, wakati  mvua inaponyesha  kutokana na Paipu   za kutolea maji zilivyowekwa  , na maji hayo huingia katika majumba ya Wananchi waliokaribu na Jengo la Hospitali hiyo , jambo ambalo linaweza kusababisha maradhi ya mripuko.


PICHA KUTOKA PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.