Habari za Punde

Ligi Kuu ya Kombe la Muungano Yafikia Tamati leo Visiwani Zanzibar Kwa Mchezo wa Fainali Kati ya JKT Mbweni na Uhamiaji Katika Uwanja wa Gymkhana Timu ya JKT Imeibuka Mabingwa Kwa Mwaka 2017/2018.

MKURUGENZI wa Idara ya Mambo ya Nje Balozi Mohammed Hamza akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Muungano Kapteni wa Timu ya JKT Mbweni Zamzam Mohammed baada ya timu yao kiubuka mabingwa kwa mwaka 2017/2018, mchezo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Zanzibar  JKT imeshinda kwa mabao 31 - 29

Mchezaji wa Timu ya JKT Mbweni Elizabeth Masenyi akiwa na mpira huku mchezaji wa Timu ya Uhamiaji Chuki George akijianda kumzuiya wakati wa mchezo wao wa fainali ya Kombe la Muungano mchezo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Zanzibar Timu ya JKT imeshinda mchezo huo, na kutoa Ubingwa wa Kombe la Muungano. kwa ushindi wa bao 31 - 29.  
Mchezaji wa Timu ya JKT Mbweni Zamzam Mohammed akiruka kudaka mpira huku mchezaji wa Timu ya Uhamiaji Beltina Kazinja akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano mchezo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Zanzibar Timu ya JKT Mbweni imeshinda mchezo huo kwa mabao 31 - 29.  
Mchezaji wa Timu ya JKT Mbweni Elizabeth Masenyi akiwa na mpira huku mchezaji wa Timu ya Uhamiaji Chuki George akijianda kumzuiya wakati wa mchezo wao wa fainali ya Kombe la Muungano mchezo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Zanzibar Timu ya JKT imeshinda mchezo huo, na kutoa Ubingwa wa Kombe la Muungano. kwa ushindi wa bao 31 - 29.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.