KATIBU Tawala Wilaya ya Mkoani Miza Hassan Faki,
akizungumza na masheha wa Wilaya hiyo, wakati walipokuwa wakipewa taaluma ya
kukabiliana na maafa Pemba.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MASHEHA wa Wilaya ya wakiwasikiliza viongozi kutoka
Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Pemba, wakati wa utoaji wa elimu ya maafa kwa
masheha hao juu ya uanzishwaji wa Makati za shehia.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MRATIB wa Kamisheni ya Kukabiliana na maafa Pemba,
Khamis Arazak Khamis akitoa maelezo ya juu ya Ripoti ya kitaalamu ya
kukabiliana na maafa Zanzibar, wakati walipokutana na masheha wa Wilaya ya
Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA sheria kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Pemba, Khamis Hamza Chilo akitoa maelezo kwa masheha wa Wilaya ya Mkoani, juu
ya uwepo wa sheria namba 1 ya mwaka 2015 ya kukabiliana na maafa Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
SHEHA wa Shehia ya Kengeja Mohamed Kassim Mohamed,
akichangia mada katika kikao cha Pamoja na Viongozi wa kamisheni ya kukabiliana
na maafa Pemba, wakati wa utoaji wa elimu juu ya kukabiliana na maafa kwa
masheha wa Wilaya ya Mkoani.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment