Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Akishiriki Katika Usafi wa Mazingira Katika Eneo la Nyumba za Wazee Sebleni Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wakati akiwasili katika viwanja vya Nyumba za Wazee Sebleni kushiriki katika zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya nyumba hizo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud baada ya kuwasili katika viwanja vya nyumba za wazee sebleni kushiriki katika zoezi la usafi wa mazingira.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akishiriki katika zoezi la kufanya usafi katika makaazi ya Nyumba za Wazee Sebleni Wilaya ya Mjini Unguja kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, wakiwa katika zoezi hilo. 

Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakishiriki katika zoezi la usafi wa mazingira katika viwanja vya Nyumba za Wazee Sebleni ikiwa ni kuaza kwa shamrashamra za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizoanza leo.
Vijana wakishiriki katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira katika eneo la Nyumba za Wazee Sebleni Unguja leo ikiwa ni uzinduzi wa Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Unguja wakati wa hafla ya uzinduzi wa Usafi wa Mazingira katika eneo la makaazi yao. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Usafi wa Mazingira katika maeneo ya Wazee Sebleni Zanzibar. na kukabidhi Vifaa vya Usafi kwa Vikundi vya Mabaraza ya Vijana ya Mkoa wa Mjini Magharibi kwa ajili ya usafi wa maeneo yao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Vifaa vya kufanyia Usafi Katibu wa Mabaraza ya Vijana Wilaya ya Magharibi B Unguja Farida Juma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa usafi katika viwanja vya nyumba za wazee sebleni Zanzibar.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Hamida Mussa Khamis, akisoma risala ya usafi ya Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya uzinduzi wa Usafi katika eneo la Nyumba za Wazee Sebleni Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akizungumza na kutowa nasaha zake kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kuhutubia. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama kwa dakika moja kuwaombea wazee waliofika mbele ya haki,  
Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Unguja wakiwa wamesimama kuwaombea Wzee ambao wameshatangulia mbele ya haki.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wakati wa hafla ya uzinduzi wa Usafi katika viwanja vya Nyumba za Wazee Sebleni Wilaya ya Mjini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.