Habari za Punde

Timu ya Taifa ya Jangombe Yaonja Ushindi Michuano ya Kombe la Mapinduzi Dhidi ya Mlandege kwa Bao 1-0.

Wachezaji wa Timu ya Mlandege wakiwa katikati ya Uwanja wa Amaan wakisoma dua kabla ya kuaza mchezo wao wa Pili wa Kombe la Mapinduzi na Timu ya Taifa ya Jangombe, Timu ya Taifa ya Jangombe imeshinda mchezo huo kwa bao  1 0.
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe wakipasha misuli kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Pili wa Kombe la Mapinduzi ikiwa mchezo wake wa kwanza wamepoteza dhidi ya Timu ya Zimamoto na kufungwa kwa mabao 2 -1. 
Wachezaji wa Timu ya Mlandege wakipasha misuli kabla yamchezo wao wa Kombe la Mapinduzi na Timu ya Taifa ya Jangombe uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.