Habari za Punde

Waziri Haruon Azungumza na Naibu Waziri wa Sheria wa China Zanzibar.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Haroun Ali Suleiman akizungumza na Naibu Waziri wa Sheria  wa China Zhao Da Cheng alipofika Ofisini kwake kubadilishana mawazo  na kushirikiana katika mambo ya Sheria katika Nchi hizi mbili mazungumzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo mazizini Unguja
NAIBU Waziri wa Sheria wa China Zhao Da Cheng akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman alipofika Ofisi kwa Waziri kwa mazungumzo ya ushirikiano wa Mambo ya SheriaNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.