Habari za Punde

Barabara ya Jendele Cheju Hadi Unguja Ukuu Kaebona Ikiwa Katika Kiwango cha Lami.

Muonekano wa barabara mpya iliojengwa kwa kiwango cha lami katika eneo la jendele, Cheju hadi Unguja Ukuu Kaebona iliojengwa kwa kiwango cha lami kuwarahisishia Wananchi wa Vijiji hivyo kusafirisha mazao yao kwa urahisi kupitia njia hiyo hapo mwazoni ilikuwa katika hali ya kifusi ikikatisha katika sehemu ya bonde la mpunga la cheju.Kama inavyoonekana pichani ikiwa katika mazingira mazuri. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipita katika barabarahiyo baada ya kuifungua rasmini katika shamrashamra za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar  kutimia Miaka 54.    

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.