Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Studio za ZBC Redio Rahaleo Leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Aiman Duwe, alipowasili katika viwanja vya Redio ZBC Rahaleo alipofika kutembelea na kuagalia Studio za kutangazia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkuu wa Watangazaji wa ZBC Redio Suzan Kunambi alipotembelea moja ya Studio wakati wa ziara yake kutembelea jengo la hilo Rahaleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Fundi Mitambo wa chumba cha kutangazia Abdulrahaman Othman, alipotembelea Studio za ZBC Rahaleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkuu wa Watangazaji wa ZBC Redio Suzan Kunambi alipotembelea moja ya Studio wakati wa ziara yake kutembelea jengo la hilo Rahaleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Aiman Duwe akitowa maelezo wakati wa ziara yake akitembelea ukumbi mkubwa wa kurikodiwa katika jengo hilo
FUNDI Mkuu Msaidizi wa ZBC Redio Joseph Lazaro akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipofanya ziara kutembelea Studio za ZBC Redio rahaleo akiwa katika chumba cha kurushia matangazo.

MKUU wa Chumba cha Habari wa ZBC Redio Lulu Mzee akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipotembelea chumba cha habari wakati wa ziara yake katika jengo la ZBC Redio rahaleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Aiman Duwe, akitowa maelezo wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar alipotembelea chumba cha habari ZBC Redio Rahaleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa ZBC Redio rahaleo wakati wa ziara yake akiwa katika chumba cha habari katika jengo hilo.
MTANGAZAJI wa ZBC Spice Abubakari Khatibu Haki Kisandu akiwa katika mmoja ya Studio za ZBC, wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa ZBC Redio rahaleo wakati wa ziara yake akiwa katika chumba cha habari katika jengo hilo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.