Habari za Punde

TAKWIMU ZA BEI KWA MWEZI WA NOVEMBA NA DISEMBA ZATOLEWA.Mkuu wa Takwimu za Bei katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Zanzibar Khamis Abdul-Rahman Msham akiwasilisha Takwimu za Bei kwa Waandishi wa Habari kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanzibar.

 Mhadhiri wa Uchumi Chuo Kikuu Cha Taifa SUZA Dk,Suleiman Msaraka akitoa ufafanuzi wa Takwimu za Bei  kwa Waandishi wa Habari kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanzibar.
 Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk Kariym akiuliza maswali katika mkutano wa Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei  kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanzibar.
Meneja wa Uchumi Benki Kuu Tawi la Zanzibar Moto Ng'winganele Madeshi Hugobi katikati akijibu maswali yalioulizwa na Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei  kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanziba.kulia yake ni Mhadhiri wa Uchumi Chuo Kikuu Cha Taifa SUZA Dk,Suleiman Msaraka na kushoto yake ni Mkuu wa Idara ya Takwimu za kiuchumi Zanzibar Abdul Ramadhan Abeid.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano kuhusiana na Takwimu za Bei  kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanziba.

Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.