Habari za Punde

Ziara ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein nchini Dubai, azungumza na Mfalme wa Dubai na Wafanyabiashara

 Ujumbe wa Zanzibar ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein ukiwa katika kikao cha pamoja na Wafanyabiashara wa nchini Dubai  katika Ofisi za (Business Community Chamber of Commerce Dubai ) Dubai. Kutowa fursa za uwekezaji kwa wafanya biashara wa UAE,alipokutana na Uongozi wa jumuiya hiyo.ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Majid Saif Al Ghurair.(Picha na Ikulu)
 Sehemu ya wafanyabiashara wa nchini Dubai wakiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Majid Saif Al Ghurair wakisikiliza kwa makini  fursa za uwekezaji kwa wafanya biashara wa UAE nchini Zanzibar katika mkutano uliofanyika katika Ofisi za (Business Community Chamber of Commerce Dubai ) 
 Ujumbe wa Zanzibar ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein ukiwa katika kikao cha pamoja na Wafanyabiashara wa nchini Dubai  katika Ofisi za (Business Community Chamber of Commerce Dubai ) Dubai. Kutowa fursa za uwekezaji kwa wafanya biashara wa UAE,alipokutana na Uongozi wa jumuiya hiyo.ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Majid Saif Al Ghurair.(Picha na Ikulu)
 MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Uwekezaji Vitega Uchumi Zanzibar Salum Nassor Khamis, akitowa maelezo kwa Wafanyabiashara wa Umoja huo, kutoa  fursa za kuwekeza Zanzibar wakati wa Mkutano huo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika Ofisi za (Business Community Chamber of Commerce Dubai ) Dubai. Kutowa fursa za uwekezaji kwa wafanya biasha wa UAE,alipokutana na Uongozi wa jumuiya hiyo.ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Majid Saif Al Ghurair.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mfalme Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice Presdent Prime Minister and Ruler of Dubai, wakielekea katika chumba cha mkutano wakati alipowasili katika makaazi yake Dubai kwa mazungumzo.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mfalme Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum,Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, alipofika katika makaazi yake ya kiongozi huo Nchini Dubai akiwa katika ziara yake ya kiserikali, kulia Balozi wa Tanzania katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk na kushoto wasaidizi wa Mfalme, wakiwa katika ukumbi wa mkutano.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mazungumzo na Mfalme wa Dubai Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, alipofika katika makaazi ya Mfalme huyo Nchini Dubai akiendelea na ziara yake ya kiserikali katika Nchi za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu (UAE ).(Picha na Ikulu)


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali. Mohamed Shein, Mfalme wa Dubai Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, wakibadilisha mawazo na CEO na Rais Shirika la Ndege la Emirates Airline Sheikh.Ahmed Bin Saeed Al Makhtoum,baada ya mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa makaazi ya Mfame Nchini Dubai.(Picha na Ikulu)

 MFALME Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice Prisedent, Prime Minister anda Ruler of Dubai, akiwa na Mgeni wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakitoka ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mfalme Shaikh. Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi ya Mfalme Dubai akiwa katika ziara yake katika Nchi za UAE.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Wajumbe wa Bodi ya Nakheel wakitembelea Mradi huo kulia Ibrahim Al Faradan na kushoto Khalid Bakhit, wakiongozana mgeni wao wakati wa kutembelea mradi huo.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CEO wa Nakheel Sanjey Machanda akitowa maelezo ya picha mbalimbali wakati wa kutembelea mradi huo, akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CEO wa Kampuni ya Nakheel New City Development and Paml Jumeirah Project Dubai Sanjey Machanda wakielekea kupanda boti kutembelea ujenzi wa Mradi huo katika ufukwe wa bahari ya Dubai.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Jebel Ali Port and Free Zone Dubai, alipotembelea bandari hiyo, akiwa katika  chumba cha mitambo ya kushushia mizigo kwa kutumia vifaa vya kisasa vya kieletroniki, kushushia na kupakiilia mizigo katika meli.(Picha na Ikulu)
 MOJA ya majengo katika Mradi wa Nakheel New City Development and Palm Jumeirah Project Nchini Dubai kama linavyoonekana pichani likiendelea na ujenzi wake.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Wajumbe wa Bodi ya Nakheel wakitembelea Mradi huo kulia Ibrahim Al Faradan na kushoto Khalid Bakhit, wakiongozana mgeni wao wakati wa kutembelea mradi huo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mjumbe wa Bodi ya Nakheel New City Development and Palm Project, Ibrahim Al Faradan, baada ya kutembelea mradi huo akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAU.(Picha na Ikulu)  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.