Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohamed Aboud Mohamed kulia akibadilishana mawazo na Waziri wa Fedha na Mipango Dk,Khalid Salum Mohammed ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi lililoanza jana Chukwani mjini Zanzibar.

 Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake, Suleiman Sarahan Saidi akichangia Mswada wa sheria ya kufuta Sheria ya kusimamia mwenendo wa Biashara  na kumlinda mtumiaji Namba 2 ya mwaka 1995 na kutunga sheria mpya ya ushindani halali wa Biashara na kumlinda mtumiaji kuweka masharti bora zaidi pamoja na mambo mengine yanayohusiana na hayo ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi lililoanza jana Chukwani mjini Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Kijito upele Ali Suleiman Ali(Shihata) akichangia Mswada wa sheria ya kufuta Sheria ya kusimamia mwenendo wa Biashara  na kumlinda mtumiaji Namba 2 ya mwaka 1995 na kutunga sheria mpya ya ushindani halali wa Biashara na kumlinda mtumiaji kuweka masharti bora zaidi pamoja na mambo mengine yanayohusiana na hayo ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi lililoanza jana Chukwani mjini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.