Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya
pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamini Wiliam
Mkapa pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara
baada ya kuweka udogo kwenye kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka mchanga kwenye Kaburi la
marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kuweka Shada la Maua
kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali
mara baada ya kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge
Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu
Benjamini Wiliam Mkapa akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waombolezaji mara
baada ya maziko ya marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam. PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment