Habari za Punde

ZSSF Yachangia Ujenzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani Pemba.

Meneja wa Mfuko wa Hifadh ya Jamii Zanzibar ZSSF Tawi la Pemba Rashid Mohammed Abdallah (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 10, Kwa Kamati ya Skuli ya Sekondari Kiwani Kisiwani Pemba, kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa ya Skuli hiyo makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa ZSSF Tibirizi Chakechake Pemba leo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.