Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya askari wa vikosi maalumu (makomandoo) wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya kufungua kituo cha mafunzo maalumu ya kijeshi huko Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani Februari 6, 2018. Kushoto kwake ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo. Picha na IKULU
PROF. MWEGOHA APONGEZA KUADHISHWA KWA TIMU YA WANAWAKE MZUMBE
-
Farida Mangube, Morogoro
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha, amepongeza hatua
ya kuanzishwa kwa timu ya mpira wa miguu ya wanawake chu...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment