Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
BANDARI ya Mkoani ni moja ya bandari muhimu kwa
Kisiwa Cha Pemba, pichani Meli ya Mv Hasanti ikiteremsha mizigo mbali mbali ya
wafanya biashara wa Pemba, kama inavyoonekana katika Picha.
Hakuna kupata kudogo, lkn kwa Pemba hasa kuna na Bandari kama ya Mkoani, ni aibu kidogo, Zao kuu la Uchumi wa nchi hii, karafuu kwa miaka yote limekuwa likipakiwa kupitia Bandari hii, basi hata kujengwa kwa Bandari yenye hadhi kidogo inayoendanda angalau na thamani ya zao la karafuu tu, tunashindwa kuijenga, tu liangalieni hili.
LUKUVI AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUZIDI KUMUAMINI
-
Na. Mwandishi Wetu-DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu
Mhe. Willium Lukuvi amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muu...

ReplyDelete