Habari za Punde

Mfuko wa Dunia , Global Fund Support yatoa msaada wa gari mbili kwa Bodi ya Madawa na Chakula (ZFDA)

 Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed kulia akimkabidhi funguo za Gari Mkurugenzi wa Wakala wa chakula dawa na vipodozi Burhani Othmani Simai ambazo zilitolewa na GLOBAL FUND.
 Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akijaribu kuliwasha moja kati ya magari mawili yaliyotolewa na Taasisi ya GLOBAL FUND.
Aina ya magari yaliotolewa na Kampuni ya GLOBAL FUND SUPPORT lenye thamani ya Shiling Milioni sabiini na tano  (Picha na Abdalla Omar Maelezo –Zanzibar).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.