Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Aliowateuwa Hivi Karibu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar Bwana Joseph Abdallah Meza, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya Kiapo ya Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar, Bwana Joseph Abdallah Meza. hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Bwana Ali Khalil Mirza. hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Bwana Ali Khalil Mirza. baada ya kumuapisha leo Ikulu Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Waziri Wizara Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Lulu Msham Abdallah. hafla hiyo imefanyika Ikulu leo Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Bwana Omar Hassan Omar (King) hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzi ya Amali Zanzibar Dkt. Idrissa Muslim Hija. Hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Bibi Khadija Bakari Juma, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, Bwana Juma Ali Juma, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Bibi Maryam Juma Abdallah Saadalla (Mabodi) hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar. 
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Maryam Juma Abdallah Mabodi akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ikulu leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Bwan, Shaaban Seif Mohammed, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar Bwana Tahir M.K.Abdallah hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, Bwana Ali Khamis Juma, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Bwana Ahmad Kassim Haji, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt. Amina Ameir Issa. hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.Anayeshughulikia Masuala ya Utalii na Mambo ya Kale. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Bibi. Mwanajuma Majid Abdallah, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.Anayeshughulikia Wazee Wanawake na Watoto.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wanawake na Watoto Zanzibar anayeshughulikia Masuala ya Kazi na Uwezeshaji Bibi Maua Makame Rajab.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Utamadubi Sanaa na Michezo Zanzibar Bwana Amour Hamil Bakari.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Bwana Amour Hamil Bakari akiala kiapo wakati wa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Anayeshughulikia masuala ya Habari, Bwana Saleh Yussuf Mnemo, Hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.   
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt. Saleh Yussuf Mnemo.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.