Habari za Punde

Wachuuzi wa Samaki Wakiwa katika Mnada wa Malindi Funguni Zanzibar.

Wachuuzi wa samaki katika maeneo ya Zanzibar wakiwa katika ufukwe wa bahari ya Malindi Funguni Unguja wakipata bidhaa hiyo katika mnada huo. Ndoo moja ya samaki aina ya saladini imeuzwa kwa shilingi 50,000/ .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.