Habari za Punde

Kilimo cha mbaazi kiangaliwe kwani hustawi vizuriKilimo cha mbaazi kimezoeleka sana katika visiwa vya Zanzibar , lakini Kilimo hicho kimeonekana kutopewa Kipao mbele licha ya kwamba kinastawi vyema hata katika ukanda wa  ardhi ya Mawe.

Pichani ni Kilimo cha mbaazi ambacho kimestawi vyema ni cha Mkulima binafsi huko Makaani Mwambe, jambo ambalo hata Wizara husika inafaa kukipa kipao mbele kwa kuwapa Utaalamu Wakulima kwani kinaweza kutumika kwa Chakula na Biashara pia.


PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.